Usikumbuke

Usikumbuke Uovu Wangu Mimi…

Oh Baba nimeleta Mambo yangu kwako 
Oh Baba nisikilize.

Usikumbuke Uovu Wangu mimi 
Rehema zako nazihitaji 
Nimekutenda uovu nyingi mimi 
Nisamehe Baba usikumbuke.

Mwana wa Mungu nakuja kwako 
Nimesikia habari zako 
Unasamehe unatakasa maovu yote Baba
Kwa damu yako Baba nisafishe.

Usikumbuke Uovu Wangu mimi 
Rehema zako nazihitaji 
Nimekutenda uovu nyingi mimi 
Nisamehe Baba usikumbuke.

Huruma zako zinaniita mimi 
Nimesikia mguso wako 
Mkono wako Baba wenye uwezo mwingi 
Uniongoze Baba kwa nuru yako.

Usikumbuke Uovu Wangu mimi 
Rehema zako nazihitaji 
Nimekutenda uovu mwingi mimi 
Nisamehe Baba usikumbuke.

Roho wa Mungu chukua leo mimi 
Maisha yangu uyatawale 
Umefunua uovu wangu mimi 
Na mimi leo Baba nibadilishe.

Usikumbuke Uovu Wangu mimi 
Rehema zako nazihitaji 
Nimekutenda uovu mwingi mimi 
Nisamehe Baba usikumbuke  .

Machozi yangu Baba yafute leo 
Furaha yangu itimilike 
Nisaidie mimi kuendelea mbele 
Kusudi lako kwangu litimilike.

Usikumbuke Uovu Wangu mimi 
Rehema zako nazihitaji 
Nimekutenda uovu mwingi mimi 
Nisamehe Baba usikumbuke 

(Lyrics to the Song Usikumbuke by Jane Misso.)

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.