ZILIZALA ZA LAWI: Kumekucha

Katika pilkapilka zangu za kufanya kazi ya ajira, zilihitajika picha safi na zilizopigwa zikapikika kutumika katika campaign zetu za marketing. Naam, nilichangamka sana kumsaidia mpiga picha mashuhuri Bwana Joseph Chumba katika #ProjectPichaSafi na kushughulika kupanga panga mambo na kupeana maelekezo kwa wahusika.
image

Ama kweli, alinifurahisha sana na kazi yake mufti na uweledi wake wa kuitumia camera yake aina ya Nikon D5300. Tulizungumza mengi, akafanya nikapaa paa katika anga nyingine ya wabunifu. Moyo wangu ulidunda dunda kama mpira wa soka hapo Old Trafford, akili zikanikimbiza mithili ya mbwa aliyeona mnofu na nikajieleza kama aliyepiga mafunda kadhaa za KC.

Ukimwona mpenzi mamangu, mueleze narudi skuli, kipaji kimechochewa, kikachocheka sasa moto wawaka….Baba alitaka sana niwe mhandisi, na nipate jiko lakini….!!! Mradi nina uhai,  nitazidi kujitahidi kudhibiti na kuimarisha Hali yangu ya maisha. Nimekataa is bora uhai tena, Bali maisha bora yanayanifaa Mimi Naingia jamii kwa jumls. Ewe Rabuka,  elekeza mwelekeo wangu nisije nikaambulia patupu.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.