ZILIZALA ZA LAWI: Kumekucha

Katika pilkapilka zangu za kufanya kazi ya ajira, zilihitajika picha safi na zilizopigwa zikapikika kutumika katika campaign zetu za marketing. Naam, nilichangamka sana kumsaidia mpiga picha mashuhuri Bwana Joseph Chumba katika #ProjectPichaSafi na kushughulika kupanga panga mambo na kupeana maelekezo kwa wahusika. Ama kweli, alinifurahisha sana na kazi yake mufti na uweledi wake wa kuitumia…

Rate This